Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally: Simba tumejaza Mabasi sio Kosta

Image 115 Ahmed Ally.png Ahmed Ally, Ofisa Habari wa Simba SC

Fri, 8 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Simba ikitamba kujaza Mabasi mawili kwa ajili ya kusafirisha Mashabiki wao kwenda nchini Zambia kushuhudia mchezo wa hatua ya mtoano kuwania kufuzu kwa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos.

Watani zao Yanga wao wanatamba kujaza Mabasi Sita kwa ajili ya kusafirisha Mashabiki wa kwenda nao nchini Rwanda kushuhudia mchezo wa hatua ya Mtoani kuwania kufuzu kwa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Klabu ya Al Merrikh ya Sudan.

Sasa kutokana na tambo hizo, Afisa Habari wa Simba Ahmed Ally amepiga kijembe kwa watani akidai kuwa wao wamejaza mabasi sio Coaster.

Msikilize Ahmed kwenye Video hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Ahmed Ally (@ahmedally_)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: