Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally: Azam hawauwezi huu mziki, nawatamani waliopita turudiane nao

Simba Ndio Wataalamu Wa Kufuzu Robo Fainali  Ahmed Ally.jpeg Ahmed Ally, Ofisa Habari wa Simba SC

Fri, 10 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Idara ya Habari wa Simba, Ahmed Ally atema cheche baada ya timu yake kuiburuza Azam kwa mabao 3-0, mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jana Mei 09, 2024.

Ahmed anasema anatamani wale wote waliocheza nao kama kuna nafasi warudiane huku akiitaja Al Ahly kama watakutana nao kwa sasa wataifunga nje ndani.

Tazama Video hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi (@mwananchi_official)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: