Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

ASEC Mimosas vs USM Alger hakuna mbabe

Asec Alger ASEC Mimosas vs USM Alger hakuna mbabe

Wed, 10 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wa nusu fainali ya pili ya mkondo wa kwanza wa Mombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Asec Mimosas ya Ivory Coast dhidi ya USM Alger ya Algeria umemalizika kwa sare ya bila kufungana.

USM Alger wakiwa ugenini wameondoka Ivory Coast wakiwa na faida ya kutokufungwa kuelekea mchezo wa marudiano wiki ijayo huko Algeria.

Full Time: ASEC 0 - 0 USM ALGER

11 (3) ... Shots ... (0) 03

65% .... Possession ..... 35%

485 .......Passes ....... 266

Imumbukwe kuwa, mshindi kati ya ASEC na USM atakutana na mshindi kati ya Yanga na Marumo Gallants ambapo mchezo wa leo Yanga imeibuka na ushindi wa bao 2-0 katika Dimba la Mkapa.

Mkondo wa pili(second leg)mechi zitachezwa Jumatano ijayo, tarehe 17 ya mwezi huu.

Timu zipi unazipa nafasi kubwa kuingia fainali?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: