Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AFL:Nani kuungana na Simba nusu Fainali?

AFL NNNN AFL:Nani kuungana na Simba nusu Fainali?

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mzunguko wa kwanza wa mechi za African Football League umekamilika jana Oktoba 22, 2023.

Matokeo hayo ya mechi za mkondo wa kwanza ni kama ifuatavyo;

Simba SC 2-2 Al Ahly

Petro Luanda 0-2 Mamelodi

Mazembe 1-0 Esperance

Enyimba FC 0-1 Wydad AC

Mechi za Mzunguko wa pili zinaanza kesho Oktoba 24 kwa mchezo wa Simba SC waliopo ugenini wakipambana na Al Ahli nchini Misri.

Nani ataungana na Mnyama kwenda Nusu Fainali?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: