Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AFL: Mashabiki elfu 30 tu kuishuhudia Simba Misri

C45dbc2b 7bad 4bc6 Aac1 Dfac433bc483 Mashabiki wa Al Ahly

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mamlaka za usalama nchini Misri katika Jiji la Cairo wameruhusu idadi ya mashabiki Elfu 30 tu ndio watakaoweza kuingia Uwanjani kushuhudia mchezo wa marudiano wa Robo fainali ya African Football League ambapo Al Ahly ataikaribisha Simba SC

Mamlaka za usalama nchini Misri katika Jiji la Cairo wameruhusu idadi ya mashabiki Elfu 30 tu ndio watakaoweza kuingia Uwanjani kushuhudia mchezo wa marudiano wa Robo fainali ya African Football League ambapo Al Ahly ataikaribisha Simba SC Mpaka sasa inaelezwa kuwa uongozi wa timu ya Al Ahly bado wanaendelea kuomba kwani wanataka mashabiki zao waruhusiwe kuingia wote waujaze Uwanja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: