Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AFL: Hivi hapa vikosi vya Simba vs Al Ahly vinavyoanza mchezo wa leo

Simba Vs Ahly Vikosi Wachezaji wa Simba SC

Fri, 20 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wawakilishi Pekee wa Tanzania katika Michuano ya African Football League, Timu ya Simba inashuka dimbani muda mchache kutoka sasa kumenyana na vigogo wa bara la Afrika Klabu ya Al Ahly kutokea kule Cairo nchini Misri.

Mchezo huo wa ufunguzi wa Michuano Mikubwa kwa ngazi ya Vilabu Afrika unapigwa majira ya saa 12 Jioni.

Mchezo huo ni muhimu kwa kila Timu kwani kila Timu inahitaji ushindi ili kujitengenezea mazingira mazuri ya kufuzu katika mchezo wa Mkondo wa pili.

Tazama vikosi vya Timu zote mbili;

Simba SC:

Ally Salim

Kapombe

Zimbwe Jr

Che Malone

Inonga

Ngoma

Mzamiru

Chama

Kibu D

Saido

Miquissone

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: