Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#AFL: Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza vs Al Ahly Misri leo

Simba Squad Warm Up.jpeg Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza vs Al Ahly Misri leo

Tue, 24 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya African Football League Timu ya Simba inashuka Dimbani muda mchache kutoka sasa kuvaana na Al Ahly.

Mchezo huo wa mkondo wa pili hatua ya Robo Fainali unapigwa katika Uwanja wa Kimataifa wa Cairo.

Mchezo wa Mkondo wa kwanza uliopigwa katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar Juma lililopita ulimazilika kwa sare ya mabao 2-2.

Simba wanahitaji ushindi au sare ya kuanzia mabao matatu kujihakikishia nafasi ya kufuzu kwa hatua ya Nusu Fainali.

Hili hapa Jeshi la Simba linaloanza mchezo wa leo;

Ally Salim

Kapombe

Zimbwe Jr

Che Malone

Inonga

Kanoute

Ngoma

Chama

Kibu D

Saido

Bocco

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: