Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ashanti, Nelly kupata mtoto pamoja

BeFunky Collage  75 Ashanti, Nelly kupata mtoto pamoja

Tue, 5 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ashanti na Nelly wanatarajia mtoto wao wa kwanza pamoja, taarifa za Ashanti kuwa mjamzito zimethibitishwa na mtandao wa PEOPLE.

Huyu atakuwa mtoto wa kwanza kwa Ashanti na wa Tatu kwa Nelly.

Penzi lao lilianza kwa kificho mwaka 2003 ambapo lilidumu kwa miaka 10 na kuachana mwaka 2013.

Ulipita muda na mwaka 2021 walianza kurudisha mahusiano yao taratibu na hadi kufikia Septemba 13, 2023 wawili hao walithibitisha kuwa wamerudiana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: