Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

50 Cent afunguliwa kesi ya madai

50 Cent Amtwanga Na Microphone Mtangazaji, Wakili Wake Afunguka 50 Cent afunguliwa kesi ya madai

Fri, 26 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Mkongwe na Mfanyabiashara, 50Cent ameshtakiwa na Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Power 106, Bryhana Monegain, anayedai jeraha alilopata baada ya kupigwa na Kipaza Sauti, limeathiri mwonekano wake.

Ingawa tukio hilo linalodaiwa kutokea kwa bahati mbaya Agosti 2023, lilielezwa kusababishwa na kifaa hicho kumsumbua 50 Cent akiwa Stejini na hivyo kupata hasira na kuirusha pembeni ambapo kiliishia kumpiga Mtangazaji huyo usoni.

Bryhana amedai anaendelea kuteseka kwa Msongo wa Mawazo juu ya tukio hilo na hivyo anataka kulipwa fidia za Mshahara aliopoteza wakati akiuguza jeraha, pamoja na gharama za matibabu na uharibifu mwingine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: