Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Paul Makenzie: Mimi na familia yangu tutakua wa mwisho kufa na kwenda mbinguni

Makenzie 741582 Paul Makenzie: Mimi na familia yangu tutakua wa mwisho kufa na kwenda mbinguni

Thu, 27 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Miili ya watu zaidi ya 90 wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa madhehebu ya Kikristo walioamini kuwa wangeenda mbinguni ikiwa wamefunga hadi kufa ilifukuliwa katika msitu huko nchini Kenya Ibada hiyo iliitwa Good News International Church na kiongozi wake, Paul Mackenzie, alikamatwa kufuatia taarifa iliyodokeza kuwapo kwa makaburi yenye kina kirefu yenye miili ya wafuasi wake 31.

Titus Katana ambaye aliwahi kushiriki katika kundi hilo na baadae kujitoa alisema kuwa Mchungaji Makenzie aliwataka waumini waanze kufunga hadi kufa kisha yeye na familia watakua wa mwisho.

Idadi ya waliofariki, ambayo imekuwa ikiongezeka kwa kasi katika muda wa siku mbili zilizopita huku uchimbaji ukiendelea, inaweza kuongezeka zaidi kwani Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya limesema watu 112 wameripotiwa kupotea kwenye dawati la ufuatiliaji wanaloendesha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: