Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hapa ndipo Simba Sc wamepiga kambi

Rgf Simba Hapa ndipo Simba Sc wamepiga kambi.

Fri, 14 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hapa ni sehemu ambapo klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba Sc wameweka kambi wakiwa wanafanya maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24.

Patalya Thermal Resort ni hotel ya nyota tano inapatikana katika Kizilcahamam ndani ya mji wa Ankara ambapo ni Makao makuu ya nchi ya Uturuki.

Hizi ndio sababu zilizopelekea Simba kuweka kambi eneo hili kupitia Salim Abdallah 'Try Again' ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba Sc anasema kuwa;

"Tumeiweka timu yetu kwenye eneo hili nchini Uturuki sababu ni eneo ambalo lina kila sifa ya timu kuweka kambi ya kujiandaa na mashindano ya msimu mpya. Kuna viwanja vizuri, swimming pool nzuri, gym na vitu vingine vingi.Tunaposema Simba ni timu kubwa tunamaanisha kwa vitendo."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: