Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zahera kuibukia Mtibwa Sugar

Zaheramwinyi Mwinyi Zahera

Thu, 13 Jul 2023 Chanzo: Mwanaspoti

Taarifa zinathibitisha kuwa Papaa Mwinyi Zahera amepewa ofa ya kwenda kwa wakata miwa wa Manungu (Mtibwa Sugar).

Zahera alijiunga na Polisi Tanzania mwishoni ma msimu uliopita ambapo alishuka nayo Daraja.

Taarifa zinasema bado ipo orodha kubwa ya Makocha inafanyiwa kazi na wenye ubora zaidi yake.

Chanzo: Mwanaspoti
Related Articles: