Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Za Ndani Kabisa! Mugalu kuachwa Simba

Mugaluuuuu Mugalu kuachwa Simba

Tue, 26 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba imempa mkono wa kwaheri Mshambuliaji Chris Mugalu baada ya Kushindwa kumshawishi Kocha Zoran Maki.

Kocha Zoran Maki ndie aliepewa jukumu la kupunguza Mshambuliaji mmoja kwenye Kikosi hicho kati ya Meddie Kagere na Chris Mugalu.

Hivyo ameona aendelee Kusalia na Meddie Kagere huku akiwaambia viongozi kuwa Chris Mugalu aondolewe.

Mugalu tayari ana ofa mbalimbali ambazo amezipata kama Klabu ya Kiyovu ya Rwanda ilituma ofa ya Kumtaka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: