Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yao, Kibabage, Moloko kumpa kiatu cha ufungaji bora Hafiz Konkoni

Konkoni 177185 Mshambuliaji wa Yanga, Hafiz Konkoni

Mon, 31 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Sasa Mshambuliaji Mpya wa klabu ya Yanga Hafiz Konkoni mwenye sifa kabisa kwa Mshambuliaji, Urefu: 1,85 m (futi 6.1in) anaingia kwenye kikosi chenye uwezo wa kutengeneza nafasi nyingi Uwanjani kutokea Pembeni.

Kwa Mfano upande wa kulia kama Wataanza Yao Kouassi upande wa Full back na Winga akiwa Jesus Moloko basi wanaweza kuku offer crosses 15 hadi 18 kwa kila Mchezo,

Msimu ulioisha Yao Kouassi Attohoula akiwa na klabu ya ASEC Mimosas alipiga Kross 8 huku Jesus Moloko akiwa na Yanga nae akipiga kross 8,

Kumbe upande wa kulia Tupu kwa Yanga Kwa msimu mmoja unaweza kuzalisha kross 16+ kwa msimu huu,

Hapo bado Upande wa kushoto wa Skudu, Kibabage , Lomalisa ama Max ,

Namuona Hafiz Konkoni kwa Height yake akiendelea kufunga Kwa mipira yote iwe kross za Juu ama Kross Chini na hii ni kutokana na ubora wake wa matumizi ya nafasi na Uwezo wake Mkubwa wa kuliona goli,

PIA: Bado klabu ya Yanga ina asset kubwa ya kuwa na viungo wengi wenye Ubunifu wa kutenegeza nafasi za mwisho kupitia Musonda mwenyewe, Aziz ki, Aucho, Sure Boy na Hata Mudathir pia.

Kama ataendelea kuonyesha Ubora wake wa Ufungaji kama ilivyokuwa ligi kuu ya Ghana (Goli 15, 3 assist) basi tutegemee kumuona akiifungia Yanga SC magoli 15+ ,hii kwa ligi kuu Tu ya NBC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: