Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yawafuata Rivers United kibabe

Yanga Mweh G Yanga yawafuata Rivers United kibabe

Thu, 20 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi chetu kimeanza safari kuelekea nchini Nigeria ambapo tutacheza mchezo wetu wa kwanza wa hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Rivers United.

Mchezo wa kwanza utachezwa saa 10:00 jioni (kwa saa za Tanzania) siku ya Jumapili, Aprili 23, 2023, kwenye dimba la Godswill Akpabio unaopatikana kwenye Jimbo la Akwa Ibom Kusini mwa Nigeria.

Kikosi kilichoondoka leo saa 12:00 alfajiri na Shirika la Ndege la Ethiopia kuelekea Nigeria kupitia Addis Ababa na tukitarajiwa kutua jijini Lagos, nchini Nigeria majira ya saa 6:30 mchana.

Orodha kamili ya wachezaji watakaosafiri ni;

Djigui Diarra

Metacha Mnata

Erick Johora

Ibrahim Bacca

Bakari Mwamnyeto

Dickson Job

Kibwana Shomari

Farid Mussa

Mudathir Yahya

Zawadi Mauya

Yanick Bangala

Jesus Moloko

Khalid Aucho

Djuma Shabani

Fiston Mayele

Kennedy Musonda

Stephane Aziz KI

Joyce Lomalisa

Tuisila Kisinda

Salum Abubakar

Mamadou Doumbia

Clement Mzize

Bernard Morrison.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: