Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yapaa tena viwango vya ubora Afrika, Simba chali!

Yanga ZtR.jpeg Yanga yapaa tena viwango vya ubora Afrika, Simba chali!

Fri, 16 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa Shirikisho la Takwimu Duniani (IFFHS), Yanga imepanda kwa nafasi nne katika viwango vya ubora barani Afrika kwa mwezi Juni 2023

Takwimu zilizotolewa na IFFHS kwa mwezi Juni 2023, zinaonyesha Yanga inashika nafasi ya sita kutoka nafasi ya 10 ya mwezi Mei

Hii hapa orodha ya klabu 10 bora Afrika;

1. Al Ahly

2. Wydad Athletic

3. Zamalek

4. Pyramids

5. Sundowns

6. Young Africans

7. Raja

8. AS FAR

9. Future FC

10. CR Belouizdad

Takwimu za IFFHS zinazingatia michuano yote ambayo timu imeshiriki,

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: