Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yakwea pipa kuelekea Malawi

Lomalisa Rtes Yanga yakwea pipa kuelekea Malawi

Wed, 5 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jumatano, Julai 5, 2023 alfajiri ambapo Kikosi kimeshawasili uwanja wa ndege wa Julius Nyerere tayari kwa safari ya kuelekea Malawi.

Itakumbukwa hivi karibuni Ali Kamwe alitoa taarifa na kusema kuwa Yanga SC imealikwa na Rais wa Malawi Lazarus McCarthy Chakwera kucheza mchezo wa kirafiki na Timu ya Nyasa Big Bullet ikiwa ni sehemu ya kusherehekea miaka 59 ya Uhuru wa Taifa hilo.

“Klabu ya Taifa imealikwa kwenye hafla maalum iliyoandaliwa na Rais wa Malawi…. baada ya Rais Samia sasa Wananchi tunakwenda kula ubwabwa na Rais wa Malawi Wazamiaji toboeni na huko tuone,” amesema Ally Kamwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: