Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yaingia makubaliano na Wakiso FC

Mayele Na Mashabiki Yanga Yanga yaingia makubaliano na Wakiso FC

Wed, 5 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga, imeingia makubaliano ya ushirikiano na timu ya Wakiso FC ya Uganda kushirikiana kwenye masuala mbalimbali ya maendeleo ya michezo ikiwemo baadhi ya wachezaji wao kuja Yanga SC kujifunza na kupata Uzoefu.

Klabu ya Yanga, imeingia makubaliano ya ushirikiano na timu ya Wakiso FC ya Uganda kushirikiana kwenye masuala mbalimbali ya maendeleo ya michezo ikiwemo baadhi ya wachezaji wao kuja Yanga SC kujifunza na kupata Uzoefu. Yanga SC imesafiri kuelekea Malawi na wachezaji wawili kutoka Wakiso FC, Moses Aliro na Shariphu Kimbowa ambao wamekuja kupata uzoefu wa mafunzo na hivyo wamesafiri na timu lakini pia watashiriki kwenye maandalizi ya msimu (PRE-SEASON) na baada ya hapo watarejea Katika timu ya Wakiso FC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: