Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga ya tatu Afrika, yaifunika Chelsea kidunia

Yanga Ngao Ya Jamii 2023 24 Tt Yanga ya tatu Afrika, yaifunika Chelsea kidunia

Thu, 14 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la kimataifa la kutunza Takwimu na Historia za mpira Duniani ‘IFFHS’ limetoa Orodha ya Timu 10 bora barani Afrika kwa mwaka mzima (kuanzia Septemba 1, 2022- Agosti 31, 2023).

Yanga imeshika nafasi ya 3 nyuma ya Al-Ahly na Wydad Casablanca.

Duniani Yanga ipo nafasi ya 63, juu ya Chelsea (72).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: