Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga watamba kubeba ngao kwa mara ya tatu mfululizo

Yanga NGAO BINGWA Yanga wakiibuka na ushindi Msimu uliopita

Fri, 11 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Menejà wa klabu ya Yanga Walter Harrison amesema walijiandaa tangu hawajaenda Tanga kwaajili ya Fainali ya Ngao ya Jamii na walijua watakutana na Azam na baada ya hapo watakutana na mshindi kati ya Singida na Simba.

Walter amesema wanaenda kuchukua ngao ya jamii mara tatu mfululizo mbele ya mtani wao Simba.

Yanga imefanikiwa kubeba Ngao ya Jamii mara mbili mfululizo ikiibuka na ushindi dhidi ya Simba SC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: