Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga waondoka na Milioni 20 kwa Mkapa

Mwamnyeto 10 Milioni Nahodha wa Yanga, Bakari Nondo akipokea fedha

Wed, 10 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika ya Kusini katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam mchezo wa mkondo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Timu ya Yanga imekabidhiwa kitita cha Tsh Milioni 20 ikiwa ni ahadi ya Rais Samia alioahidi kununua kila goli Tsh Milioni 10 kwa Vilabu vya Tanzania vinavyoshiriki Michuano ya CAF.

Kwa ushindi wa mabao 2-0 Yanga wamekabidhiwa kitita chao na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Pindi Chana mbele ya Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: