Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga wamtema Dickson Ambundo

Snapinsta Ambundo Yanga wamtema Dickson Ambundo

Tue, 20 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuwajulisha Wanachama na Mashabiki wa Yanga kuwa mchezaji wai Dickson Ambundo amemaliza mkataba wake ndani ya Klabu yetu.

Dickson alijiunga na klabu yetu akitokea Dodoma Jiji Agosti mwaka 2021.

Uongozi wa Yanga unapenda kumshukuru Dickson Ambundo kwa mchango wake ndani ya Klabu katika kipindi chote alichotumikia timu yetu akichangia mafanikio makubwa ya kutwaa mataji mawili ya N

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: