Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga wamefanikiwa kuwavuruga Simba SC

Mashabiki Mkapa Simba.jpeg Mashabiki wa Simba.

Sun, 24 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashabiki wa Klabu ya Yanga wamefanikiwa kuwapanikisha mashabiki wa watani zao wa jadi, Simba Sc kwa kiasi kikubwa bila wao kujiju.

Simba wakishinda hawaridhiki, wameingia kwenye mtego wa kuwasema vibaya wachezaji wao muhimu Shomari Kapombe na Mohamed Hussein.

Baleke anaongoza kwa ufungaji mabao ligi kuu mpaka sasa akiwa na mabao matano wakati anayemfuatia ana mabao 3, lakini husikii wakimsifia wao wanalia na kocha tu, wanasahau kocha hajafungwa mechi yoyote ya ligi tangu ajiunge na Simba, Kocha amewaondolea unyonge kwa Yanga akishinda mechi 2.

Yanga imefanikiwa nje ndani wameshinda goli 1-0 dhidi ya Namungo FC hawalalamiki wao kikubwa alama 3, presha wanayopewa Mashabiki wa Simba ikiingia kwa benchi la ufundi itakuwa hatari zaidi kwao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: