Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga waichapa Kaizer Chiefs kwa Mkapa

Yanga Vs Kaizer Yanga wameibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo huo wa kirafiki

Sat, 22 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao pekee la mshambuliaji wa Kimataifa wa Zambia, Kennedy Musonda dakika ya 45 na ushei limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Bao pekee la mshambuliaji wa Kimataifa wa Zambia, Kennedy Musonda dakika ya 45 na ushei limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mchezo huo ulikuwa wa kuhitimisha kilele cha Siku ya Mwananchi ambapo Ynga huitumia siku hiyo kutambulisha wachezaji wao wapya pamoja na kikosi cha msimu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: