Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga waendelea kuibomoa Asec, wahamia kwa Straika hatari wa mabao

Karamoko Sankara Sankara Karamoko (19)

Sat, 15 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga ipo katika hatua nzuri kuipata saini ya Mshambuliaji wa klabu ya Asec Mimosas Sankara Karamoko (19).

Mazungumzo Binafsi baina ya Mchezaji na klabu ya Yanga yalishafika pazuri na kinachoendelea sasa ni mazungumzo na klabu yake ya ASEC Mimosas.

Endapo Yanga SC watafanikisha usajili huu wa Sankara, basi safu yao ya Ushambuliaji itakuwa:

Fiston Mayele

Sankara Karamoko

Clement mzize

Kennedy Musonda

Je Mwananchi unadhani kuna mpinzani atakaetoboa mbele ya Yanga?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: