Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga vs JKT Tz, ni vita ya Mabingwa

Yanga Bingwa Sisri Mabingwa wa Ligi Kuu Bara 2022/23, Timu ya Yanga

Tue, 29 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu ya soka ya NBC Tanzania bara inaendelea tena leo Agosti 29 kwa mchezo mmoja ambapo Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo Yanga SC wachachuana na Mabingwa wa Championship 2022/23 JKT Tanzania katika dimba la Azam Complex Chamazi.

Yanga SC vs JKT Tanzania

Azam Complex, Chamazi

saa 1:00 jioni

Yanga na JKT Tanzania ni miongoni mwa timu chache ambazo hazijaruhusu goli kwenye NBCPL msimu huu wa 2023/24 sambamba na, Singida Fountain Gate FC, Mashujaa FC na Geita Gold FC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: