Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga upepo wahamia kwa Makabi Lilepo

Makabi Lilepo Move Mshambuliaji wa Al Hilal, Makabi Lilepo

Tue, 18 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkongomani Makabi Lilepo (25) kutoka Al Hilal ya Sudan ambaye Yanga inamuwinda kwa muda mrefu na inaamini huu ndio wakati sahihi wa kumpata na kuvaa jezi ya wananchi ambapo mazungumzo baina ya pande zote mbili yanaendelea vizuri.

Mkongomani Makabi Lilepo (25) kutoka Al Hilal ya Sudan ambaye Yanga inamuwinda kwa muda mrefu na inaamini huu ndio wakati sahihi wa kumpata na kuvaa jezi ya wananchi ambapo mazungumzo baina ya pande zote mbili yanaendelea vizuri. Iwapo Lilepo atakubali kujiunga na Yanga basi moja Kwa moja atakuja kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji ya Yanga ambayo inaondokewa na mfumania nyavu Fiston Mayele.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: