Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga kuwafuata Wahabeshi kesho

Dube Yanga Ew Yanga kuwafuata Wahabeshi kesho

Wed, 11 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Yanga SC mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara wataanza rasmi safari yao ya kuwafuta wenyeji wao CBE kutoka nchini Ethiopia siku ya kesho Alhamisi, Septemba 12, 2024.

Yanga watamenyana na CBE nchini Ethiopia Jumamosi, Septemba 14, majira ya saa 9 alasiri kwa saa za Tanzania wakiwania kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Yanga itaanza kuwapokea wachezaji wao wote ambao walijiunga na timu za Taifa Siku ya kesho na baadhi yao watajiunga na Kambi moja Kwa moja nchini Ethiopia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: