Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga kucheza mechi zote za hatua ya awali CAF Uwanja wa Mkapa

Yanga Squad Full Kikosi cha Yanga

Sun, 6 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mechi zote mbili Preliminary round ya klabu Bingwa Afrika baina ya Yanga SC dhidi ya ASAS ya Djibout zitachezwa katika dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam,

Ikitokea Yanga SC akafuzu 1st round CAF Champions league dhidi ya ASAS ambapo michezo yote itachezwa kwa Mkapa Tanzania,

1st round ikitokea Yanga Sc wakakutana na Al Merrikh kuna uwezekano mkubwa wa zaidi ya 80% Al Merrikh wakacheza mchezo wao wa Nyumbani nje ya Sudan kutokana na hali ilivyo sasa Nchini kwao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: