Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga kinyonge waanza safari kurejea Dar

Mwamnyeto Skudu.jpeg Yanga kinyonge waanza safari kurejea Dar

Mon, 14 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga SC imeanza safari kurejea jijini Dar es Salaam ikitokea Tanga kujiandaa na mechi zinazofuata wakianza na KMC Ligi Kuu Agosti 23 katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

Yanga ilishuhudia rekodi yake ya kutwaa Ngao ya Jamii mara mbili mfululizo (2021-22) ikikomeshwa na Simba SC kufuatia kipigo cha penalti 3-1 baada ya dakika 90 za mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii 2023 kumalizika bila mshindi kupatikana.

Yanga sasa wanarejea Dar kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASAS FC ya Djibouti utakaopigwa utakaopigwa Agosti 8, 2023 katika Dimba la Mkapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: