Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga: 'Thank You' Abdallah Shaibu 'Ninja'

Ninja Yanga E.jpeg Yanga: 'Thank You' Abdallah Shaibu 'Ninja'

Fri, 23 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya soka ya @yangasc imeachana na mlinzi Abdallah Shaibu 'Ninja' baada ya mkataba wake kutamatika ndani ya klabu hiyo.

Klabu ya soka ya @yangasc imeachana na mlinzi Abdallah Shaibu 'Ninja' baada ya mkataba wake kutamatika ndani ya klabu hiyo. Taarifa ya Yanga imesema, "Tunamshukuru Abdallah Shaibu (Ninja) kwa mchango wake katika kipindi chote alichokuwa nasi na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: