Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga Princes dimbani tena leo

Yanga Princes W Yanga Princes dimbani tena leo

Thu, 20 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya wanawake ya Yanga Princess leo watashuka tena dimbani kucheza dhidi ya Baobab Queens kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake (SWPL) utakaopigwa kwenye dimba la Uhuru jijini Dar Es Salaam majira ya saa 10:00 jioni.

Timu ya wanawake ya Yanga Princess leo watashuka tena dimbani kucheza dhidi ya Baobab Queens kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake (SWPL) utakaopigwa kwenye dimba la Uhuru jijini Dar Es Salaam majira ya saa 10:00 jioni. Yanga Princess wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa nafasi ya 4 na alama 22, wakiwa na kumbukumbu nzuri dhidi ya Baobab Queens baada ya kuondoka na alama zote 3 kwenye mchezo wa awali uliochezwa Dodoma mapema mwaka huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: