Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga: Jezi mpya za msimu ujao ziko tayari kuzinduliwa

Mayele Jeziiiii.jpeg Yanga: Jezi mpya za msimu ujao ziko tayari

Fri, 23 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jezi za klabu ya Yanga kwa ajili ya msimu wa 2023/24 tayari ziko nchini, kinachosubiriwa ni uzinduzi tu.

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema kesho Jumamosi katika Mkutano Mkuu wa Wanachama watatoa taarifa rasmi kuhusu uzinduzi wa jezi hizo.

"Ni kweli tayari jezi za msimu ujao zipo, Jumamosi kwneye Mkutano Mkuu tutatangaza siku ya uzinduzi na utaratibu wa upatikanaji wa jezi hizo," alisema Kamwe.

Mbunifu wa jezi za Yanga Sheria Ngowi ametamba kuwa jezi za msimu ujao ni bora zaidi na zitatikisa sio Tanzania tu, Aftika na hata duniani.

Jezi za msimu uliomalizika zilikuwa miongoni jezi tano bora za klabu barani Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: