Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga, Feisal waandika rekodi NBC Primia Ligi

Fei Toto X Pacome Yanga, Feisal waandika rekodi NBC Primia Ligi

Thu, 24 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu Tanzania Bara, NBC Primia Ligi imeingia mzunguko wa pili lakini kuna baadhi ya rekodi mpaka kufikia sasa zimeandikwa.

Mpaka sasa klabu ya KMC ndio timu iliyofugwa magoli mengi kuliko timu zote mpaka sasa kwenye mchezo mmoja.

kichapo cha mabao 5-0 walichopewa na Wananchi Young Africans ndicho kimewafanya kuongoza kwenye kipengele hiki.

NBCPL23 - Feisal Salum ndio Mchezaji aliyefunga magoli mengi ndani ya Mchezo mmoja (Kitayosce) na ndio kinara mpaka sasa.

Je unadhani nani atampiku KMC FC kwenye kwa rekodi ya kufungwa magoli mengi ndani ya mchezo mmoja ?

Je nani atampiku Feisal Salum Kwenye kufunga magoli mengi ndani ya Mchezo mmoja ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: