Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wilson Oruma: Robertinho hampendi Chama tangu siku ya kwanza

Chama X Robertinho.jpeg Clatous Chama na Robertinho

Thu, 13 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati vuguvugu la kiungo wa Simba Clatous Chotta Chama likizidi kuchukua nafasi katika midomo ya wapenda soka nchini.

Mchambuzi wa Michezo kutoka EFM ametoa kauli inayoonesha kuwa Chama hatakiwi na mwalimu Robertinho katika kikosi cha Simba SC.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Oruma ameandika;

"Clatous chota Chama sio Kipenzi Cha ROBERTINHO tangu siku ya Kwanza

Na kwa hiki kinachoendelea yeye anatakiwa tu Kuomba usajili wa Kina Aubin Kramo Kouame usi Click.

Unasema Mkataba wako ulikuwa ni Mwaka Mmoja? Fine tuonyeshe,sisi tunao wa Miaka 2 na ni huu hapa. Simple hivyo."

Je Chama anaondoka ama unamuona anabaki, Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: