Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wazawa ambao bado wapo Simba ni hawa

Kibu Denis Prosper Wazawa ambao bado wapo Simba ni hawa

Sat, 24 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba Sc imekuwa ikifanya maboresho kuanzia wachezaji na benchi la ufundi wapo ambao wameshapewa mkono wa kwaheri klabuni hapo katika kipindi hiki ambacho tunaelekea kwenye dirisha kubwa la usajili kufunguliwa na hawa ni wachezaji wazawa ambao bado wapo ndani ya klabu ya Simba Sc.

Hadi hivi sasa klabu ya Simba Sc nimebakisha wachezaji kumi na tatu

ambao ni wazawa.

Shomari Kapombe

Kenedy Juma

Mohamed Hussein

I Aishi Manula

Mzamiru Yasin

Israel Mwenda

Nassor Kapama

Habibu Kyombo

Ally Salim

Kibu Denis

Jimyson Mwanuke

Ahmed Feruzi

Je, unadhani mchezaji gani mzawa kwenye kikosi cha Simba Sc

hatokuwepo kwenye msimu ujao wa 2023/24?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: