Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wazawa Yanga kuoneshwa mlango wa kutokea

Ambundo Dickson Master Winga wa Yanga Dickson Ambundo

Mon, 15 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inaelezwa kuwa Yanga imepanga kuwatema wachezaji wake kadhaa wazawa baada ya kushindwa kuonesha uwezo na kumshawishi Mwalimu.

Inaelezwa kuwa Yanga imepanga kuwatema wachezaji wake kadhaa wazawa baada ya kushindwa kuonesha uwezo na kumshawishi Mwalimu. Nyota wanaotajwa kutemwa mwishoni mwa msimu ni pamoja na Denis Nkane, Crispin Ngushi, David Bryson, Dickson Ambundo, Eric Johola.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: