Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanaoongoza kwa mabao Shirikisho CAF Cup

Mayele390 Wanaoongoza kwa mabao Shirikisho CAF Cup

Tue, 21 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele ameingia kwenye orodha ya wachezaji wanaoongoza kwa mabao katika Ligi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika akiwa na mabao matatu huku anayeongoza akiwa na mabao sita.

Mpaka sasa Mayele ambaye ni raia wa Congo amefunga mabao matatu katika michezo mitano ya hatua ya makundi ya michuano hiyo.

Mayele alifunga mabao katika michezo dhidi ya Real Bamako (ugenini na ule wa nyumbani), pamoja na mchezo wa juzi dhidi ya

Wanaoongoza kwa Magoli Shirikisho CAF Confederation Cup 2022/2023;

1. Fakhreddine Ben (Tunisia) Pyramids FC – 6 Goals

2. Paul Acquah (Ghana) Rivers United FC – 5 Goals

3. Mostafa Fathi (Egypt) Pyramids FC – 4 Goals

4. Ranga Chivaviro Ranga Chivaviro (South Africa ) Marumo Gallants FC – 4 Goals

5. Aubin Kramo (Cote d’Ivoire) ASEC Mimosas – 4 Goals

6. Nwangwa Nyima (Nigeria) Rivers United FC – 3 Goals

7. Fiston Mayele (DR Congo) Young Africans SC – 3 Goals

8. Abderrahmane Meziane (Algeria) USM Alger – 3 Goals.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: