Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanaokuja mbele wafanye nini kuizuia Yanga?

Gamondi X Yanga Somo Miguel Gamondi ameanza kazi yake katika kikosi cha Yanga kwa speed kali sana

Fri, 1 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakiwa wamecheza michezo miwili tu ya Ligi na Michezo miwiuli ya Ligi ya Mabingwa, Timu ya Yanga imeanza kuonekana ni tishio kwa vilabu vinavyojiandaa kukutana nayo.

Sasa Kocha na mchambuzi wa mpira Mkazuzu, amejaribu kutafuta mbinu kwa wapinzani wa Yanga wanaokuja mbele wafanye nini ili kuizuia Timu hiyo ambayo inaonekana kabisa imepania kutetea Ubingwa wake wa Ligi kwa mara ya tatu mfululizo.

Mkazuzu anajaribu kuwapa mbinu za ziada wale ambao wanatarajia kukutana na Yanga katika michuano mbalimbali.

Akizungumza Mkazuzu anasema;

“Mimi nikiwaangalia Asas na JKT Tanzania zilijaribu kupiga pasi lakini zilikwama ,kwa kuzisaidia timu zinazokuja mbele zifanye nini ? "

Je unadhani Wapinzani wa Yanga wafanye nini ili kuidhibiti Yanga, Tupe maoni yako.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: