Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wafungaji Bora Ligi ya Mabingwa hawa hapa, Chama 'on top'

Rgv Chama Wafungaji Bora Ligi ya Mabingwa hawa hapa, Chama 'on top'

Tue, 21 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kingo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chota Chama ameingia kwenye orodha ya wachezaji wanaoongoza kwa kupachika mabao katika katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2023.

Mpaka sasa, Mzambia huyo ana mabao manne huku mabao matatu akifunga katika mechi moja dhidi ya Horoya kwenye Dimba la Mkapa, Jumamosi, Machi 18, 2023.

1. Clatous Chama (Simba) - 4

2. Makabi Lilepo (Al Hilal) - 4

3. Kahraba (Al Ahly) - 3

4. Cassius Mailula (Mamelodi) - 3

6. Peter Shalulile (Mamelodi) - 3

7. Soufiane Benjdida (Raja Casablanca) - 2

8. Sadio Kanoute (Simba) - 2.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: