Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Viingilio vyapaa Fainali Ngao ya Jamii Tanga

Viingilio Viingilio vyapaa Fainali Ngao ya Jamii Tanga

Fri, 11 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jumapili Agosti 13 pale Mkwakwani Tanga itafahamika mshindi wa taji la Ngao ya Jamii 2023 kwenye mechi ya Yanga vs Simba saa 1:00 usiku.

Ili kushuhudia mechi hiyo Shirikisho la Soka Tanzania limepandisha kiingilio cha mzunguko kutoka Sh10,000 hadi Sh20,000 eneo ambalo linabeba mashabiki wengi huku VIP ikibaki Sh30,000.

Siku hiyo pia itapigwa mechi ya mshindi wa tatu Azam vs Singida Fountain Gate ikianza saa 9:00 alasiri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: