Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vigogo wavutana hatma ya Morisson Yanga

Hersi Said Vs Morisson Vigogo wavutana hatma ya Morisson Yanga

Tue, 20 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarif zinasema kuwa Viongozi wa Yanga wanavutana juu ya hatma ya mtukutu Bernard Morrison kubaki klabuni ama aondoke.

Chanzo cha kuaminika kimesema kuwa tayari Rais Hersi amemwambia Morrison yupo tayari kumpa ofa ya kubaki, lakini kwanza itabidi akubali kushusha mshahara wake.

Morisson hajui hatma yake mpaka kufikia sasa ndani ya Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: