Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uwanja mpya wa Yanga usipime

IMG 4429 Kaunda Yanga.jpeg Muonekano wa Uwanja wa Klabu ya Yanga utakaojengwa eneo la Jangwani

Sat, 24 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imeonyesha muonekano wa Uwanja wenye uwezo wa kubeba mashabiki 15,000 hadi 18,000, kwenye mkutano mkuu wa klabu hiyo, ambapo ujenzi wa uwanja huo unatarajiwa kujengwa katika makao makuu ya Yanga, Jangwani kwenye eneo la Kaunda

Tazama picha zaidi hapa Chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: