Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ufaransa kuonyesha mechi ya Yanga vs Marumo Gallants

Yanga Dar Ufaransa kuonyesha mechi ya Yanga vs Marumo Gallants

Tue, 9 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kituo maarufu Duniani cha TV cha France CANAL SPORTS+ kimetangaza kuwa kitauonesha mchezo wa nusu fainali CAFCC, Yanga dhidi ya Marumo Gallants.

Mechi ya kwanza itachezwa saa 10:00 jioni katika Dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Jumatano Mei 10, 2023. Mechi ya pili itachezwa saa 1 Jioni Nchini Afrika, Mei 17.

Kikosi cha Marumo Gallants tayari kimeshawasili leo alfajiri baada ya kukwama kuwasili jana kutokana na changamoto za usafiri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: