Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tarimba: Mtu wa Scouting Simba ana kazi gani?

IMG 4317 Abbas Tarimba.png Mjumbe wa baraza la wadhamini Yanga, na Mkurugenzi wa utawala na udhibiti wa Sportpesa Abbas Tarimba

Fri, 21 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mjumbe wa baraza la wadhamini Yanga, na Mkurugenzi wa utawala na udhibiti wa Sportpesa Abbas Tarimba amepiga kijembe kwa watani wao Simba SC.

Tarimba ameuliza alipo mtu wa Scouting wa Simba na majukumu yake ikiwa ni siku chache tangu Simba wajitape kumuiba Uwanja wa ndege mchezaji alietaka kusajiliwa na Yanga Fabrice Ngoma'

Tarimba ameuliza

"Wanasema wameajiri mtu kwa ajili ya kufanya scouting, halafu juzi wanajisifia kwamba wameinyang'anya Yanga mchezaji uwanja wa ndege, Kwa hiyo ndio kazi ya huyo scout waliyemwajiri ? Kwa mwendo huo Yanga itaendelea kutwaa mataji "

Je Mwanasimba una jibu gani kwa Tarimba?Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: