Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Takwimu za Yanga Chamazi zaivuruga Al Merrikh

Dfb Aziz Kiii Takwimu za Yanga Chamazi zaivuruga Al Merrikh

Fri, 29 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa msimu huu 2023/24 klabu ya Yanga haijapoteza mchezo wowote katika Uwanja huo kwa Michezo ya CAFCL na hata NBC.

Yanga Sc wameshacheza Michezo 6 katika dimba hilo huku wakiwa wameshafunga Magoli 40.

Takwimu za Yanga Chamazi kwa Msimu huu

Michezo 6 (NBC 3, CAFCL 3)

Mashuti 40

Wametengeneza nafasi 58

Wakifunga magoli 18 + 2 ya Ya mbali (Jumla 20)

Clean Sheet 5

Yanga Sc wameruhusu kufungwa goli 1 dhidi ya Asas ya Djibout ambapo walifungwa kwa mkwaju wa penati baada ya Mchezaji wa Yanga zawadi Mauya kufanya makosa yaliyozaa Penati.

MCHEZO WA AZIZ KI

Ametengeneza nafasi 13

Amefunga magoli 3

Ame Assist magoli 3

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: