Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Yanga kumshusha mbadala wa Morisson

IMG 4370.jpeg Maxi Mpia Nzengeli

Fri, 23 Jun 2023 Chanzo: Tanzaniweb

Yanga wameng’oa Bernard Morrison ili kushusha chuma kutoka Union Maniema winga Maxi Mpia Nzengeli (23) ambae ni mtu wa kazi lakini pia mkwanja wake wataumudu.

Yanga wameng’oa Bernard Morrison ili kushusha chuma kutoka Union Maniema winga Maxi Mpia Nzengeli (23) ambae ni mtu wa kazi lakini pia mkwanja wake wataumudu. Maxi ambaye ni nahodha wa Maniema anasifika kasi huku akiwa kwenye kikosi cha DR Congo kilochoshiriki CHAN.

Chanzo: Tanzaniweb
Related Articles: