Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Yanga Princes kumtambulisha Charles Haalubono

 Charles Haalubono.jpeg Charles Haalubono

Thu, 13 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Charles Haalubono anaeleka kutangazwa kuwa kocha Mkuu mpya wa Yanga Princess ambayo haina kocha kwa sasa.

Taarifa zinasema kuwa tayari ameshawaaga Green Buffaloes Ladies (Zambia) kuwa anaelekea Tanzania kujiunga na klab ya Wanawake ya Yanga.

Haalubono aliiongoza Green Buffaloes katika michuano ya Caf Women ya msimu uliopita akiwa kundi moja na Simba Queen

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: