Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI:Okrah atemwa Simba SC

Okrah Ana Mzuka Usipime Baada Ya Kupona, Aitamani Yanga Augustine Okrah

Tue, 30 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni kama maboresho yameanza mitaa ya Msimbazi. Klabu ya Simba SC kwa pamoja na mchezaji Augustine Okra kutoka nchini Ghana wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba

Okrah alitambulishwa kama mchezaji wa Simba July 13/2022 kwa mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele chakuongezeka

Okra amedumu Simba SC kwa miezi 10, hukua maisha yake ndani ya Klabu hiyo yakikumbana na changamoto kadhaa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: