Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Aubin Kramo kutimka Simba SC

Aubin Kramo Training Kramo Aubin

Thu, 24 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa klabu ya Simba Aubin kramo huenda akatoka kwa Mkopo na kurejea kwao Ivory Coast.

Kramo tangu ajiunge na klabu ya Simba amekuwa na wakati mgumu wa kupata nafasi ya kucheza mbele ya mawinga wenzake ambao ni Machaguo ya Mwalimu Mkuu wa klabu hiyo Kibu Denis na Willy onana.

Simba SC walimsajili Aubin Kramo akitoka ndani ya klabu ya Asec Mimosas na sasa anatajwa huenda akajiunga na klab hiyo hiyo kwa mkopo wa msimu mzima.

Kramo tangu ajiunga na klab ya Simba muda mwingi amekuwa nje ya kikosi huku sababu zikidai ni kuwa na majeruhi kwa vipindi tofauti tofauti.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: